Abby Senior
Senior Member
- Feb 14, 2015
- 154
- 60
Hali zenu wadau naomba kuuliza wapi nitapata korosho zilizibanguliwa kwa wingi, nahitaji kununua kwa wingi, kama kuna mhusika au anafahamu wapi zinapatikana naomba anijulishe
Nime ku pm tayari,changamka tufanye kazi
Njoo pmHali zenu wadau naomba kuuliza wapi nitapata korosho zilizibanguliwa kwa wingi, nahitaji kununua kwa wingi, kama kuna mhusika au anafahamu wapi zinapatikana naomba anijulishe
Njoo pmNaitaji korosho nipo dar kwa anzia kilo 500 mpaka tani 20,..ukiwa nazo ni pm tufanye biashara,