P Pagan Amum JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 1,930 Reaction score 4,409 Jan 15, 2017 #1 Nahitaji korosho kwa wingi. Korosho ambazo zishabanguliwa, zile nyeupe na ambazo hazijachanganywa. Packaging ziwe katika kilo moja moja... Nipo Dar... Kama unazo kuja inbox
Nahitaji korosho kwa wingi. Korosho ambazo zishabanguliwa, zile nyeupe na ambazo hazijachanganywa. Packaging ziwe katika kilo moja moja... Nipo Dar... Kama unazo kuja inbox