S sankara25 JF-Expert Member Joined Aug 19, 2022 Posts 388 Reaction score 789 Aug 30, 2022 #1 Mambo vp Wadau wa ufugaji. Nimevutiwa sana una ufugaji wa awa kondoo aina ya Dorper weupe ila kuanzia kichwan wana rangi nyeusi nitapata wapi na bei zake wanauzawaje ?
Mambo vp Wadau wa ufugaji. Nimevutiwa sana una ufugaji wa awa kondoo aina ya Dorper weupe ila kuanzia kichwan wana rangi nyeusi nitapata wapi na bei zake wanauzawaje ?
JS Dairy Farm JF-Expert Member Joined Feb 13, 2022 Posts 347 Reaction score 754 Aug 30, 2022 #2 Kuna Shamba moja wanao lipo Kwala, Kibaha ila wanaanza kuuza kuanzia mwezi wa 11,nitafuatilia bei na mambo mengine nitakujulisha kupitia uzi huu.
Kuna Shamba moja wanao lipo Kwala, Kibaha ila wanaanza kuuza kuanzia mwezi wa 11,nitafuatilia bei na mambo mengine nitakujulisha kupitia uzi huu.
S sankara25 JF-Expert Member Joined Aug 19, 2022 Posts 388 Reaction score 789 Aug 30, 2022 Thread starter #3 JS Farms said: Kuna Shamba moja wanao lipo Kwara, Kibaha ila wanaanza kuuza kuanzia mwezi wa 11,nitafuatilia bei na mambo mengine nitakujulisha kupitia uzi huu. Click to expand... Ni pure kbs?
JS Farms said: Kuna Shamba moja wanao lipo Kwara, Kibaha ila wanaanza kuuza kuanzia mwezi wa 11,nitafuatilia bei na mambo mengine nitakujulisha kupitia uzi huu. Click to expand... Ni pure kbs?
mbota JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 1,067 Reaction score 634 Aug 31, 2022 #4 JS Farms said: Kuna Shamba moja wanao lipo Kwara, Kibaha ila wanaanza kuuza kuanzia mwezi wa 11,nitafuatilia bei na mambo mengine nitakujulisha kupitia uzi huu. Click to expand... Shamba linaitwaje mkuu?
JS Farms said: Kuna Shamba moja wanao lipo Kwara, Kibaha ila wanaanza kuuza kuanzia mwezi wa 11,nitafuatilia bei na mambo mengine nitakujulisha kupitia uzi huu. Click to expand... Shamba linaitwaje mkuu?
JS Dairy Farm JF-Expert Member Joined Feb 13, 2022 Posts 347 Reaction score 754 Aug 31, 2022 #5 Nenda Instagram page yao inaitwa boran_tz,utakutana na ng'ombe,mbuzi,kondoo shamba lao lipo Kibiti na Kwala mkoa wa Pwani. mbota said: Shamba linaitwaje mkuu? Click to expand...
Nenda Instagram page yao inaitwa boran_tz,utakutana na ng'ombe,mbuzi,kondoo shamba lao lipo Kibiti na Kwala mkoa wa Pwani. mbota said: Shamba linaitwaje mkuu? Click to expand...
JS Dairy Farm JF-Expert Member Joined Feb 13, 2022 Posts 347 Reaction score 754 Aug 31, 2022 #6 sankara25 said: Ni pure kbs? Click to expand... Tembelea page yao ya Instagram boran_tz, unaweza kuwauliza maswali.
sankara25 said: Ni pure kbs? Click to expand... Tembelea page yao ya Instagram boran_tz, unaweza kuwauliza maswali.
S sankara25 JF-Expert Member Joined Aug 19, 2022 Posts 388 Reaction score 789 Aug 31, 2022 Thread starter #7 JS Farms said: Tembelea page yao ya Instagram boran_tz, unaweza kuwauliza maswali. Click to expand... Shukran
JS Farms said: Tembelea page yao ya Instagram boran_tz, unaweza kuwauliza maswali. Click to expand... Shukran