Nahitaji kompyuta mpakato (Laptop)

Nahitaji kompyuta mpakato (Laptop)

east36

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2013
Posts
1,346
Reaction score
601
Habari great thinkers.

Nahitaji laptop mpya zenye warranty na specifications zifuatazo.

Hp G5 250
15.6'
Core i3 8th Gen
4GB Ram
1tb HDD
DOS

AU

Dell Inspiron 3593
15.6'
4GB Ram
Core i3 10th Gen
500GB HDD
DOS

Au zenye specifications zinazofanana na hizo.

Weka bei na unapopatikana. Kwa mawasiliano zaidi pia unakaribishwa pm.

Ahsanteni
 
Umeshindwa hata kung'amua mantiki ya swali langu kuna biashara kweli hapo?
Nimekujibu nilipo. Mimi nataka tufanye biashara mkuu, "tusicomplicate". Usinipe mafumbo, kama una mzigo nielekeze ulipo nije that simple.
 
Mkuu nishazunguka nimekosa ndio maana niko huku.
kwa uzoefu wangu mimi humu jf ni bora uangalie alternative ya model za hizo pcs lakini humu jukwaani usiwaamini sana watu matapeli wengi.

But the best alternative ni kununua hiyo model ya pc kupitia mtandaoni hasa Aliexpress
 
Sawa mkuu this is noted.
 
nipe laki 2 na 80 location dar ila ni core i5 pc haina tatizo wala nini
 
Back
Top Bottom