Nahitaji Kiwanja

Mbona msisitizo ni mkubwa mno? Bei zikoje?
 
Mbona msisitizo ni mkubwa mno? Bei zikoje?

Kuna vya 8M, 9M to 12 M

Well mimi ni mfanya biashara....kuweka details na mazingira ya biashara wazi ndio nguzo kupata wateja makini. Ukicheck natumia JF kibiashara.....ili nipate riziki. So sipendi pata bad credibility humu. Ndio maana nikasema silazimishi mtu.

Wewe njoo hata na advocate na vyombo vya sheria. Napenda open straight business.
 
Kwa anayehitaji Kibaha aje nimuuzie kuna vya 20x20 bei 1.8m na 25x25 bei 2.8m eneo liko Kibaha Misugusugu 2km kutoka Morogoro road. 0755401051 kwa maelezo zaidi kuona na kutahmini ni bure hakina udalali.
 
Kwa anayehitaji Kibaha aje nimuuzie kuna vya 20x20 bei 1.8m na 25x25 bei 2.8m eneo liko Kibaha Misugusugu 2km kutoka Morogoro road. 0755401051 kwa maelezo zaidi kuona na kutahmini ni bure hakina udalali
Nimepata 24×30 kwa 2.5M. Misugusugu 1.5km toka morogoro road, lakin nimeshindwa maana ni umbali wa masaa mawili na nusu toka kimara kwa daladala.
 
Viwanja vipo Mbezi Msumi ila muuzaji anaanzia Tsh 6,000,000/= japo mkielewana anaweza kushuka hadi Tsh 5,000,000/=.

Ukubwa ni kuanzia mita 20*20.

Nimepata 24×30 kwa 2.5M. Misugusugu 1.5km toka morogoro road, lakin nimeshindwa maana ni umbali wa masaa mawili na nusu toka kimara kwa daladala.
 
Kiwanja kipo Kigamboni 20*20 umeme upo na njia safi hadi kwenye kiwanja chako... Bei 5ml. jirani na barabara kuu ya Kigamboni kwa maelezo zaidi njoo PM.
 
kiwanja kipo kigamboni 20*20 umeme upo na njia safi hadi kwenye kiwanja chako... bei 5ml. jirani na bara bara kuu ya kigamboni kwa maelezo zaidi njoo PM
Kigamboni kumenikalia kushoto. Nahitaji uelekeo wa morogoro road.
 
Kiwanja kipo Kiluvya gogoni km 1 tu toka lami maji umeme barabara safi kiangazi masika.

Bei nakukutanisha na mwenye eneo.

Maana ni shamba linakatwa katwa vipande.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…