facts only
Member
- Dec 9, 2016
- 31
- 37
Habari, nina budget ya 8,000,000/= nahitaji Kiwanja. Ningependela maeneo ya Goba, salasala, bunju na madale. Ila popote nakaribisha.
+255764998340
+255764998340
Hayo maeneo utapata 20x20=400sqrmeter. Kiluvya makurunge ni 1600sqrmeter umeme maji na mwendokasi vipoHabari, nina budget ya 8,000,000/= nahitaji Kiwanja. Ningependela maeneo ya Goba, salasala, bunju na madale. Ila popote nakaribisha.
+255764998340
Habari!Habari, nina budget ya 8,000,000/= nahitaji Kiwanja. Ningependela maeneo ya Goba, salasala, bunju na madale. Ila popote nakaribisha.
+255764998340
Hiki cha kiluvya kimepimwa?Hayo maeneo utapata 20x20=400sqrmeter. Kiluvya makurunge ni 1600sqrmeter umeme maji na mwendokasi vipo
Sikiliza Mkuu! Viwanja vyote ukisikia eti vimepimwa vina hati ni uongo. Hiyo hati ni hati ya mauziano utakayotumia wewe utambulike na majirani, serikali ya mtaa then ukitaka kupima ndio uthibitisho ya jinsi ulivyokipata. Kiwanja kilichopimwa chenye title deedy ni ngumu mchakato wa kubadilisha jina na bei ni kubwaHiki cha kiluvya kimepimwa?
Viwanja ninavyosema ni vya watu wenye maeneo yao wanaviplan vizuri wanavikata na kuweka barabara za mitaa na kuuziana kwa kutumia HATI ya Mauziano ambayo baadaye utalipa 30,000 kwenye serikali ya kitongoji ili utambilike. Wote ndivyo tulivyonunua viwanja na kujenga na wengine kuprocess hati.Hiki cha kiluvya kimepimwa?
1 to 2km approximatelyWe wa kiluvya uje utuambie urefu toka morogor road
Sikiliza Mkuu! Viwanja vyote ukisikia eti vimepimwa vina hati ni uongo. Hiyo hati ni hati ya mauziano utakayotumia wewe utambulike na majirani, serikali ya mtaa then ukitaka kupima ndio uthibitisho ya jinsi ulivyokipata. Kiwanja kilichopimwa chenye title deedy ni ngumu mchakato wa kubadilisha jina na bei ni kubwa