Nahitaji kiwanja

Nahitaji kiwanja

densa

New Member
Joined
Sep 10, 2018
Posts
4
Reaction score
0
Habari wadau!nahitaji kiwanja maeneo ya madale, Goba,matosa tegeta A,bunju msakuzi kisizidi 10m.
 
kipo goba (saisai)
karibu na lami (approximately 600m)
sqm 625 ( 25 *25)
15m (fixed)
 
Mimi nauza cha kwangu maeneo ya salasala kinzudi 25 kwa 20 bei 12.5m
Picha za eneo
IMG_20181016_205402_890.jpg
IMG_20181016_205402_890.jpg
 
Nauza kiwanja chenye ukubwa wa 20×60 (1200 square metres) Madale - mbopo

Umeme na maji vipo

Gari linafika hadi kwenye plot

Kipo flati kabisa

Bei Tsh 14 million maongezi yapo
0716440258 nitafute tufanye biashara mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom