Qulfayaqul JF-Expert Member Joined Apr 10, 2008 Posts 480 Reaction score 84 Dec 11, 2013 #1 Kwa wale wakazi wa nzega ninahitaji kiwanja maeneo hayo. Mimi niko dar es salaam ila mwenyeji wa tabora. Bajeti yangu ni kati millioni moja mpaka millioni mbili.
Kwa wale wakazi wa nzega ninahitaji kiwanja maeneo hayo. Mimi niko dar es salaam ila mwenyeji wa tabora. Bajeti yangu ni kati millioni moja mpaka millioni mbili.
makwimoge JF-Expert Member Joined Apr 14, 2011 Posts 298 Reaction score 44 Dec 11, 2013 #2 maeneo gani unataka Nzega Ipilili,Ushirika,Uzunguni, Nyasa Juu au Kitongo mpya kwenye lami nakushauri ukanunue huko maana mji ndio unahamia huko
maeneo gani unataka Nzega Ipilili,Ushirika,Uzunguni, Nyasa Juu au Kitongo mpya kwenye lami nakushauri ukanunue huko maana mji ndio unahamia huko
makwimoge JF-Expert Member Joined Apr 14, 2011 Posts 298 Reaction score 44 Dec 11, 2013 #3 kitongo mpya wafanyakazi wa mgodini wanaondoka wasiliana nao watakuuzia wana viwanja huko