M Masegense JF-Expert Member Joined Feb 5, 2015 Posts 201 Reaction score 350 Mar 30, 2015 #1 Nahitaji kununua kiwanja songea, maeneo ya mkuzo, msamala au mshangano. kama kuna mtu anauza kiwanja maeneo hayo tuwasiliane. dalali hatakiwi.
Nahitaji kununua kiwanja songea, maeneo ya mkuzo, msamala au mshangano. kama kuna mtu anauza kiwanja maeneo hayo tuwasiliane. dalali hatakiwi.
Naipendatz JF-Expert Member Joined Jul 27, 2011 Posts 5,091 Reaction score 8,243 Mar 30, 2015 #2 Masegense said: Nahitaji kununua kiwanja songea, maeneo ya mkuzo, msamala au mshangano. kama kuna mtu anauza kiwanja maeneo hayo tuwasiliane. dalali hatakiwi. Click to expand... ninacho mshangano, nichek 0753049460
Masegense said: Nahitaji kununua kiwanja songea, maeneo ya mkuzo, msamala au mshangano. kama kuna mtu anauza kiwanja maeneo hayo tuwasiliane. dalali hatakiwi. Click to expand... ninacho mshangano, nichek 0753049460
Adamjuma94 JF-Expert Member Joined May 29, 2017 Posts 3,292 Reaction score 4,752 Jun 23, 2017 #3 Naipendatz said: ninacho mshangano, nichek 0753049460 Click to expand... oi bado unavyo viwanja
barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,404 Reaction score 29,811 Jun 23, 2017 #4 Mpambalyoto kipo kiwanja??
share JF-Expert Member Joined Nov 22, 2008 Posts 6,063 Reaction score 10,479 Jun 23, 2017 #5 Masegense said: Nahitaji kununua kiwanja songea, maeneo ya mkuzo, msamala au mshangano. kama kuna mtu anauza kiwanja maeneo hayo tuwasiliane. dalali hatakiwi. Click to expand... Kama unataka kujenga shule binafsi ya kusomesha wanafunzi wanaopata mimba nitakupa. Huku kwetu dada hao wanadungwa mimba kila siku!
Masegense said: Nahitaji kununua kiwanja songea, maeneo ya mkuzo, msamala au mshangano. kama kuna mtu anauza kiwanja maeneo hayo tuwasiliane. dalali hatakiwi. Click to expand... Kama unataka kujenga shule binafsi ya kusomesha wanafunzi wanaopata mimba nitakupa. Huku kwetu dada hao wanadungwa mimba kila siku!
Adamjuma94 JF-Expert Member Joined May 29, 2017 Posts 3,292 Reaction score 4,752 Jun 23, 2017 #6 barafuyamoto said: Mpambalyoto kipo kiwanja?? Click to expand... vipi kuna maji umeme na bei
Ng'onyo Senior Member Joined Sep 2, 2011 Posts 146 Reaction score 75 Oct 10, 2018 #7 Jamani nauza/napangisha Nyumba Songea ipo Mkuzo karibu na msamala bei ni maelewano. Nipigie 0756 303344 Karibu tufanye biashara.
Jamani nauza/napangisha Nyumba Songea ipo Mkuzo karibu na msamala bei ni maelewano. Nipigie 0756 303344 Karibu tufanye biashara.
Libadi Senior Member Joined Apr 13, 2018 Posts 149 Reaction score 200 Feb 7, 2020 #8 Naipendatz said: ninacho mshangano, nichek 0753049460 Click to expand... Mkuu bdo viwanja unavyo? Sent using Jamii Forums mobile app
Naipendatz said: ninacho mshangano, nichek 0753049460 Click to expand... Mkuu bdo viwanja unavyo? Sent using Jamii Forums mobile app
Godo JF-Expert Member Joined Apr 11, 2017 Posts 1,107 Reaction score 1,488 Feb 9, 2020 #9 Masegense said: Nahitaji kununua kiwanja songea, maeneo ya mkuzo, msamala au mshangano. kama kuna mtu anauza kiwanja maeneo hayo tuwasiliane. dalali hatakiwi. Click to expand... Ninacho shule ya tanga stend mpya. Sent using Jamii Forums mobile app
Masegense said: Nahitaji kununua kiwanja songea, maeneo ya mkuzo, msamala au mshangano. kama kuna mtu anauza kiwanja maeneo hayo tuwasiliane. dalali hatakiwi. Click to expand... Ninacho shule ya tanga stend mpya. Sent using Jamii Forums mobile app