Majizi yote utasikia njoo PM. Wakomalie waweke hapahapa details zote na ufanye bargaining kabisa ndipo uwaombe namba kwa utakayeridhika naye. Tanga kwa maji, huu msimu wa mvua ndio komaa upate cha ukweli....lasivyo utaambulia kwenye dimbwi la maji