Nahitaji kiwanja maeneo yafuatayo

Nahitaji kiwanja maeneo yafuatayo

Amicable Group

Senior Member
Joined
May 13, 2015
Posts
176
Reaction score
133
Moja kwa moja kwenye mada husika.

Mwenye kiwanja kuanzia Ubungo hadi Mbezi Louis au kuanzia Mbezi Beach hadi Bunju B au kuanzia Mbezi Beach hadi Mbezi Louis kupitia Goba aweke taarifa hapa nitamcheki.

Zingatia:
(i) Kiwanja kisiwe umbali wa zaidi ya mita 200 kutoka barabara kuu ya lami.

(ii) Kipimo kiwe kuanzia mita 10 kwa 10 na kuendelea.

(iii) Kiwanja kiwe kinafikika kwa gari(barabara iwepo).

(iv) Muuzaji awe mmiliki sio dalali.
 
Masharti kibao...bajeti yako ikoje? Tuanzie hapo kwanza
 
Low-minded.
Kila mpango una masharti yake, huwezi masharti acha tangazo kama lilivyo.

Mbona wewe unapost matangazo yako mimi nasoma na siandiki chochote kwasababu ya masharti yako.
Masharti kibao...bajeti yako ikoje? Tuanzie hapo kwanza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom