HaMachiach JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 3,450 Reaction score 6,211 Apr 5, 2022 #1 Kuna jamaa aliweka tangazo kuwa anauza kiwanja maeneo ya banana sijajua ni nani kama.hajauza aje tuyajenge lakini pia nahitaji uwanja maeneo hayo hela iko mfuko wa shati
Kuna jamaa aliweka tangazo kuwa anauza kiwanja maeneo ya banana sijajua ni nani kama.hajauza aje tuyajenge lakini pia nahitaji uwanja maeneo hayo hela iko mfuko wa shati
mandingo 94 JF-Expert Member Joined Apr 9, 2018 Posts 269 Reaction score 196 Apr 6, 2022 #2 Brother banana sizani Kama Kuna kiwanjwa njoo kitunda mwanagati kibeber na magore kivule huku ndipo Kuna viwiwanja
Brother banana sizani Kama Kuna kiwanjwa njoo kitunda mwanagati kibeber na magore kivule huku ndipo Kuna viwiwanja
HaMachiach JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 3,450 Reaction score 6,211 Apr 6, 2022 Thread starter #3 sawa mkuu