Tusker Bariiiidi
JF-Expert Member
- Jul 3, 2007
- 5,554
- 2,160
Wadau! Nahitaji Kiwanja maeneo ya Tuangoma Kigamboni kwenye mradi wa viwanja,Kisipungue Square metre 800. Kiwe na Offer au Hati. Nawasilisha.
Nipo nje ya nchi unaweza uka-
PM? pia kuna m2 wangu yupo Dar atakupigia
hivi viwanja vinapimwa na serikali,haina haja ya kununua kwa mtu.mimi nimechukua kimoja
nimesha ku pmVipi nikucheck unipe maelezo na mimi naweza kupataje??Tafadhali naomba msaada wako