masai dada JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 16,825 Reaction score 16,903 Sep 28, 2014 #21 mamakibunju said: Kiko wapi chako mkuu? Click to expand... kiko maji matitu kama unaenda chamazi mbagala
mamakibunju said: Kiko wapi chako mkuu? Click to expand... kiko maji matitu kama unaenda chamazi mbagala
CHAI CHUNGU JF-Expert Member Joined Feb 20, 2012 Posts 7,113 Reaction score 943 Sep 28, 2014 #22 Why TZ viwanja juu namna hiyo kha?
Nokla JF-Expert Member Joined Aug 12, 2012 Posts 3,190 Reaction score 1,780 Sep 29, 2014 Thread starter #23 Bado sijapata wakuu
mamakibunju JF-Expert Member Joined Dec 28, 2013 Posts 1,009 Reaction score 222 Sep 30, 2014 #24 masai dada said: kiko maji matitu kama unaenda chamazi mbagala Click to expand... Duh alikuwa anakaa Mganga wangu maeneo hayo enzi hizo za kibanga kampiga mkoloni...!
masai dada said: kiko maji matitu kama unaenda chamazi mbagala Click to expand... Duh alikuwa anakaa Mganga wangu maeneo hayo enzi hizo za kibanga kampiga mkoloni...!
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,419 Reaction score 88,755 Sep 30, 2014 #25 CHAI CHUNGU said: Why TZ viwanja juu namna hiyo kha? Click to expand... Very Expensive watu wanaropoka tu bei..
CHAI CHUNGU said: Why TZ viwanja juu namna hiyo kha? Click to expand... Very Expensive watu wanaropoka tu bei..
akohi JF-Expert Member Joined Jul 13, 2012 Posts 787 Reaction score 527 Sep 30, 2014 #26 Ninavyo kigamboni Mbutu 800 - 1600sqm bei ni 12,000 per sqm. Mwasonga 400 - 2000sqm bei 6000/- per sqm Vyote vina offer ukilipia inatoka hati kwa jina lako
Ninavyo kigamboni Mbutu 800 - 1600sqm bei ni 12,000 per sqm. Mwasonga 400 - 2000sqm bei 6000/- per sqm Vyote vina offer ukilipia inatoka hati kwa jina lako
Nokla JF-Expert Member Joined Aug 12, 2012 Posts 3,190 Reaction score 1,780 Sep 30, 2014 Thread starter #27 akohi said: Ninavyo kigamboni Mbutu 800 - 1600sqm bei ni 12,000 per sqm. Mwasonga 400 - 2000sqm bei 6000/- per sqm Vyote vina offer ukilipia inatoka hati kwa jina lako Click to expand... Mkuu mbutu ndio wapi,? Kibada au,
akohi said: Ninavyo kigamboni Mbutu 800 - 1600sqm bei ni 12,000 per sqm. Mwasonga 400 - 2000sqm bei 6000/- per sqm Vyote vina offer ukilipia inatoka hati kwa jina lako Click to expand... Mkuu mbutu ndio wapi,? Kibada au,
akohi JF-Expert Member Joined Jul 13, 2012 Posts 787 Reaction score 527 Sep 30, 2014 #28 Mbutu iko kigamboni mwambao wa bahari kuelekea kimbiji baada ya geza ulole
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,419 Reaction score 88,755 Oct 5, 2014 #29 akohi said: Ninavyo kigamboni Mbutu 800 - 1600sqm bei ni 12,000 per sqm. Mwasonga 400 - 2000sqm bei 6000/- per sqm Vyote vina offer ukilipia inatoka hati kwa jina lako Click to expand... Hicho cha sqm 2000 hauchukui kwa 8m?
akohi said: Ninavyo kigamboni Mbutu 800 - 1600sqm bei ni 12,000 per sqm. Mwasonga 400 - 2000sqm bei 6000/- per sqm Vyote vina offer ukilipia inatoka hati kwa jina lako Click to expand... Hicho cha sqm 2000 hauchukui kwa 8m?
akohi JF-Expert Member Joined Jul 13, 2012 Posts 787 Reaction score 527 Oct 5, 2014 #30 2000 x 6500 ndo bei ya kuuza mkuu
akohi JF-Expert Member Joined Jul 13, 2012 Posts 787 Reaction score 527 Oct 5, 2014 #31 Bado unaweza kuchukua cha kulingana na budget yako ya 8m
L luirhu JF-Expert Member Joined Feb 9, 2014 Posts 800 Reaction score 412 Oct 5, 2014 #32 Sasa maeneo gani ndio mazuri ya kujenga
akohi JF-Expert Member Joined Jul 13, 2012 Posts 787 Reaction score 527 Oct 5, 2014 #33 Kama unaharaka ya kujenga ili uwahi kuhamia basi chukua mbutu maana kumeisha anza kujengwa na barabara zipo na pia hata dala dala zipo
Kama unaharaka ya kujenga ili uwahi kuhamia basi chukua mbutu maana kumeisha anza kujengwa na barabara zipo na pia hata dala dala zipo
akohi JF-Expert Member Joined Jul 13, 2012 Posts 787 Reaction score 527 Oct 5, 2014 #34 Mwasonga bado sana na panafaa mtu asiye na haraka ya kujenga ili ahamie hivi karibuni unless kama ana interest na kuanza kupatumia kwa kilimo au ufugaji au pia anapenda kuishi nje ya mji
Mwasonga bado sana na panafaa mtu asiye na haraka ya kujenga ili ahamie hivi karibuni unless kama ana interest na kuanza kupatumia kwa kilimo au ufugaji au pia anapenda kuishi nje ya mji
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,419 Reaction score 88,755 Oct 5, 2014 #35 akohi said: Kama unaharaka ya kujenga ili uwahi kuhamia basi chukua mbutu maana kumeisha anza kujengwa na barabara zipo na pia hata dala dala zipo Click to expand... Viwanja vyako vya mbutu vipo maeneo ya maghorofa ya Akbaru?
akohi said: Kama unaharaka ya kujenga ili uwahi kuhamia basi chukua mbutu maana kumeisha anza kujengwa na barabara zipo na pia hata dala dala zipo Click to expand... Viwanja vyako vya mbutu vipo maeneo ya maghorofa ya Akbaru?
akohi JF-Expert Member Joined Jul 13, 2012 Posts 787 Reaction score 527 Oct 5, 2014 #36 pale kwenye magorofa unakwenda kushoto kama nusu kilomita. Na hata akbaru kachukua viwili vya 5000sqm kule mwasonga pia
pale kwenye magorofa unakwenda kushoto kama nusu kilomita. Na hata akbaru kachukua viwili vya 5000sqm kule mwasonga pia
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 60,419 Reaction score 88,755 Oct 5, 2014 #37 akohi said: pale kwenye magorofa unakwenda kushoto kama nusu kilomita. Na hata akbaru kachukua viwili vya 5000sqm kule mwasonga pia Click to expand... Ntakutafuta nikija dsm.
akohi said: pale kwenye magorofa unakwenda kushoto kama nusu kilomita. Na hata akbaru kachukua viwili vya 5000sqm kule mwasonga pia Click to expand... Ntakutafuta nikija dsm.
H Haika JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 2,347 Reaction score 569 Oct 5, 2014 #38 King Kong III said: Very Expensive watu wanaropoka tu bei.. Click to expand... Nchi gani bei ya ardhi iliopimwa ni rahisi zaidi tuhamie huko
King Kong III said: Very Expensive watu wanaropoka tu bei.. Click to expand... Nchi gani bei ya ardhi iliopimwa ni rahisi zaidi tuhamie huko
Kurunzi Platinum Member Joined Jul 31, 2009 Posts 10,175 Reaction score 11,573 Oct 5, 2014 #40 bushlawyer said: Bado sijapata wakuu Click to expand... Ninacho pale miembe saba kwa mathias 0.5 kilometa toka barabarani umeme na maji yapo karibu.
bushlawyer said: Bado sijapata wakuu Click to expand... Ninacho pale miembe saba kwa mathias 0.5 kilometa toka barabarani umeme na maji yapo karibu.