Kilichopimwa sio rahisi mkuu uliza hati yenyewe kuipata inachukua mda gani? Juzi tu rafiki yangu kanunua kiwanja 45mill maeneo ya Goba na hakina hati.Wakuu,
Nahitaji kiwanja kilichopimwa na chenye hati kuanzia sqm 1500 eneo lolote DSM, budget 10 mil
NiPM for details
Wakuu,

Mkuu hiyo ni hela nzuri utapata japokua kinaweza kisiwe na hati labda offer lakin sehemu ambayo ni surveyed,ukiwa na hela cash we ni mfalme tulia utapata,usisikilize mikwara hapa kuna watu wanauzaga hadi na nyumba kwa hela zinazozidi hapo kidogo tu inategemea mtu anahitaj hela kwa uharaka gani, ila ishu za ASAP utakuja kununua makaburi au masoko.

mil 10 sehemu yoyote Dar?
wewe kweli bushmen!
Umbali km ngapi kutoka tazara mkuu?
ongeza mili 5 hapo nikupe kiwanza kizuri sana
kikubwa sana kwa dar