vianzi iko sehem ganNjoo vianz takupa 20 kwa 30
Mkuu njoo nikuuzie kipo Kiwawe,unashukia Mvuti ulizia usafiri wa Dondwe,ukifika Dondwe ni Beep nitakupigia nitakupeleka mchanga unapata hapao hapo maji yapo ya kutosha na miti.Bajet 1.5m
ni wapi hapo....zinapakana na pugu sec au,,,umbali gani toka barabara kubwa??Nauza kiwanja Pugu kajiungeni karibu na shule ya GREENHILL,
22*30
6M
Una masihara kweli wewe kiwanja cha 10milion upate chenye hati umesikia kiwanja ni pipi ya kijiti kila mtu anacho Faru john mwenyewe hajauzwa kwa 10milion na wajanja.Hicho cha kibaha kimepimwa yaani kina hati?
Mkoa wa Tarime KusiniVianz ndio mkoa gan
kiwanja kilichpimwa mkamba kigamboni sqm 920 @ Tshs 10,000.00Nahitaji kiwanja au nyumba lkn vyenye hati, kiwanja nina 10 million, nyumba Maelewano