Nahitaji kiwanja, kiwe nje ya mji

Nahitaji kiwanja, kiwe nje ya mji

Kwa hela hyo mkuu utapata Kiwanja bt ni nje ya mji kweli kweli, Mvuti, viwege, kisarawe n.k
 
Nahitaji kiwanja au nyumba lkn vyenye hati, kiwanja nina 10 million, nyumba Maelewano
 
Nenda kisarawe usafiri wa uhakika wa train mwendokasi
 
Nauza kiwanja Pugu kajiungeni karibu na shule ya GREENHILL,
22*30

6M
 
We ebu kuwa na akili, utauzaje kiwanja bila hati! kweli kuna watu wanafikiri kwakutumia nini siju...
Kama viwanja visingeuzwa bila hati watu wengi sana wasingemiliki viwanja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom