Nahitaji: Kiwanja chenye hati Tabata Segerea.

Nahitaji: Kiwanja chenye hati Tabata Segerea.

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Posts
4,373
Reaction score
3,586
Habarini
Kichwa cha habar chahusika.
Kiwe na ukubwa kuanzia Square meter 800 hivi na kuendelea.
Asanten.
 
Tabata segerea siku hizi hauwezi pata kiwanja labda ununue Jumba la kizamani ulibomoe ujenge unachopenda..... Kiwanja plain ni ngimu Sana kukipata
 
Ninacho kiwanja tabata segerea kisukuru.... Dakika 15 tu kufika Ubungo... Kama unahitaji nipigie 0658904648
 
Back
Top Bottom