Nahitaji Kiwanja Chanika

Nahitaji Kiwanja Chanika

Chi86

Member
Joined
Nov 14, 2015
Posts
72
Reaction score
18
Kiwe maeneo ya Chanika
Ukubwa 40?40
Bei maelewano

Nb: Dalali ahitajiki
 
Wewe bado hamjifunzi tu, mwenzako Jana amevunjiwa nyumba ya Mil.500 kwa makosa kama hayo. Nenda kunakohusika ili upate taarifa sahihi.
 
Ninacho kilichopimwa Buyuni na kina hati. Ni 1780sqm, ni zaidi ya hiyo 40*40. Nakiuza 20m,kama upo serious ni pm.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom