Nahitaji Kitu Kama Hiki Dodoma Mjini

MfalmewaKiha

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2017
Posts
1,191
Reaction score
1,247
Habari zenu Ndugu zangu,
Hongereni na poleni kwa janga la Corona.
NAHITAJI kuingia mjini Dodoma kwa ajili ya kutafuta kitu Kama hiki Selfe StickJe ntafanikwa kweli kupata kwa maduka ya hapo au nikate ticket ya moja kwa moja Dar
Zaidi ningenda kupata kama hiyo picha ya kwanza,
Zaidi Tripod

Asanteni



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…