Nahitaji kitanda 5/6

Nahitaji kitanda 5/6

Ninauza kitanda na godoro nichek watssap0652595942
 
Nahitaji kitanda 5/6 kama nilivotaja hapo juu. Ofa yangu ni TSH 90,000/= tu. Njoo PM kwa maelewano zaidi

NB: Napatakana Dar es salaam

Sent using Jamii Forums mobile app

Aliyesema base ya kitanda ni 6ft ni nani??? Watu wengi wanalala wamejikunja mda wote wa maisha yao. Std base ya kitanda ni 7ft. So you should talk of 5 x 7 na siyo 5 x 6


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu kwa hiyo hela yako utasumbuana tu bure na watu njoo na elf 80 nikupe futi tatu na nusu kwa sita na godorolake kama utalihitaji na hiyo elf 10 utafanya usafir

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom