Nahitaji kioo pamoja na touch yake samsung S3

Nahitaji kioo pamoja na touch yake samsung S3

Na mimi natafuta kioo+touch ya Samsung galaxy s5
[HASHTAG]#sorry[/HASHTAG] kwa kuingilia tangazo
 
nunua mpya tu, maana bei utakuta 150,000/- wakati bei ya sim mkononi 180,000/-
 
Kuna mtu anacho nilikuwa nataka nimpe number yako alafu wewe unataka pm? Kumbukeni wengine wanaingia kama guest
 
Anaetaka battery na circuit ya w5 anichek kioo na touch yake najanga
 
Back
Top Bottom