Nahitaji Kioo cha tecno W4

Nahitaji Kioo cha tecno W4

cobra poison

Member
Joined
Sep 14, 2016
Posts
32
Reaction score
12
Mwenye kioo cha tecno W4 aje tuzungumze ila kiwe cheap kidogo maana hali imebana
 
hayo masimu ma bovu mnooo ni hodari kwa ku staki staki yaan yanakera nazani safari hii ndio mara ya kwanza na mwisho kutumia mi tecno OVYOOOOOOOOOOOOO
 
hayo masimu ma bovu mnooo ni hodari kwa ku staki staki yaan yanakera nazani safari hii ndio mara ya kwanza na mwisho kutumia mi tecno OVYOOOOOOOOOOOOO
kumbe nawe ni mtumiaji wa tecno. Cm za walimu hizo
 
ah sasa siunakua tena simu izi huwa tunapopeteza bac huwa tunanunua tu tukiziona ziko fresh kumbe hovyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom