Uko mkoa gani? Cha nyuma bei yake ni 10,000 tu.
Je cha mbele kimepasuka kile cha juu tu au hadi ile screen yenyewe kupelekea sim kutofanya kazi? Kama ni cha juu basi ni kuanzia 150,000-200,000 ila kama screen pia imeathirika basi andaa si chini ya 500,000. Samsung shops watakutengenezea kwa 600,000 ila ukienda kariakoo kwa mafundi wa pale watakutengenezea kwa 500,000.
Simu za samsung ni kioo tu. Nilikua nayo mwaka jana nikapasua kioo(screen nzima)cha mbele na cha nyuma. Nilivyozunguka kwa mafundi nikakuta bei ni hiyo nikaachana nayo nikanunua sim mpya toleo lingine.