KICHWA BOX
Member
- Feb 21, 2015
- 21
- 0
Habari wakuu wa hili jukwaa,nahitaji Front Glass ya Sony Xperia M, NAWASILISHA.
Ni kioo ndugu yangu mana kina cracks,upande wa touch inapga kazi tu fresh
Shukrani brother kwa ufafanuzi wakokioo kikiwa kibovu usingeona kitu kabisa, hio ni front glass tu. njia rahisi ya kuipata front glass ni kununua touch ambayo huja nayo.
ukichange kioo kizima ni gharama sana
ukitaka touch ya hiyo simu nicheki whatsapp 0715426668
ukitaka touch ya hiyo simu nicheki whatsapp 0715426668