Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,053
- 15,515
Nahitaji kioo cha Laptop kiwe LED au LCD sawa tuu. Kisiwe na cracks au kuvuja wino kiwe clean
Size ni 15.6 inches
Njoo na Bei yako
Size ni 15.6 inches
Njoo na Bei yako
Kaa nacho mkuuu kitakusaidiaKioo kipo, 180,000/- mkuu
Uko wapi mzee baba. Ni Led au LCDNjoo na 100k. Ninayo kwenye laptop yangu ya dell iambayo mbovu...
Anaumwa minyoo huyo. Ninunue kioo 180k ???Duu ci heli ununue ingine
Kaka biashara maongezi aisee... Ila kama umeshindwa sawa!Anaumwa minyoo huyo. Ninunue kioo 180k ???
Bei ya kioo dukani ni 120k, sasa ww unakuja na bei yako ya kimachinga kitu cha elfu 5 unauza elfu 50. Kaa nacho kama kimekuvutia. No need to burgainKaka biashara maongezi aisee... Ila kama umeshindwa sawa!
Sawa mkuuBei ya kioo dukani ni 120k, sasa ww unakuja na bei yako ya kimachinga kitu cha elfu 5 unauza elfu 50. Kaa nacho kama kimekuvutia. No need to burgain
Nipo Dar. Ni aina ya Led...Uko wapi mzee baba. Ni Led au LCD
Exactly mkuuKipya kinauzwa 120k kariakoo pale kwahyo watu wakupe bei chini ya hiyo
Nipe beiNipo Dar. Ni aina ya Led...
Nauza laki mojaNipe bei