Nahitaji kingamuzi cha startimes..used!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nahitaji kingamuzi cha startimes..used!!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by SHAROBALO, May 18, 2011.

 1. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #1
  May 18, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Guys

  kama unakingamuzi umekichoka...au hukihitaji tena...mi natafuta kimoja...bei elfu 35.

  nahitaji sio kukitumia ila kuna vitu naviyaka toka mule ndani. kisiwe cha uwizi wala kisiwe kibovu.

  kiwe online sababu kabla ya nmalipo nitaenda kukiulizia kama kipo poa ofisi za startimes.

  so anyone interested...pm me
   
 2. Dr wa ukweli

  Dr wa ukweli JF-Expert Member

  #2
  May 18, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 892
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  ingawa kiswahili hujui vizuri, tuambie umegundua vina kitu gani ndani yake kama ni Tanzanite tuchangamkie dili mapema mkuu
   
 3. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #3
  May 18, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  thanks doctor.
  We nitafutie majibu yote nitashare na jamii
   
 4. R

  Renegade JF-Expert Member

  #4
  May 18, 2011
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 3,760
  Likes Received: 1,062
  Trophy Points: 280
  nunua kipya.
  Bei mbona sio kubwa tsh. 59900/-
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,264
  Trophy Points: 280
  mimi ninacho cha G TV, KAMA HIVYO VITU UNAVYOHITAJI VIPO UMO NI PM FASTA NIVUTE MPUNGA HUO.
   
 6. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  bora umwambie, anataka kizima kwa 35!
   
 7. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #7
  May 19, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Hivi vya G tv bado vipo?? Kauze kama screpa..
   
 8. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,264
  Trophy Points: 280
  Mkuu mbona unaharibu biashara za watu? yeye hataki kutumia kwa ajili ya TV bali anahitaji material zilizopo humo, ndio maana nikamuuliza je cha G TV kinamfaa? ok na wewe unaesema nikauze screpa ni vizuri ungesema hizo screpa ni wapi wananunua?
   
 9. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #9
  May 19, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Cha GTV hakifai..na nafahamu bei mimi nataka used sababu nikisha nunua hakitakuwa kizima tena so .... ngoja tusubiri aliyenacho na amekichoka na hakitumii tena. thanks all
   
 10. Anko Sam

  Anko Sam JF-Expert Member

  #10
  May 20, 2011
  Joined: Jun 30, 2010
  Messages: 3,216
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Huu sasa uganga wa kienyeji kama siyo ufisadi, uchukue kifaa kwenye nzima kisha uweke kwenye mbovu!!! Au unataka cha kutumia kwa bei hiyo ya 35? Kweli inawezekana kesho ikawa mwisho wa dunia kama mambo yenyewe ndo haya!
   
 11. s

  strawberry1 Member

  #11
  May 20, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0  bora anunue kipya kwa sababu tulionunua wa kwanza tuliuziwa Tshs 70,000/= so kama tunauza used itakuwa si chini ya 50,000/=
   
 12. k

  kisukari JF-Expert Member

  #12
  May 20, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,753
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  jamani naomba mnisaidie.kuuliza si ujinga.king'amuzi maana yake ni nini?
   
 13. m

  makuti Member

  #13
  May 29, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 44
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  me ninacho kwa bei hiyo poa, ila sijakilipia . kama itakufaa ni PM ili nijue nikupataje.
   
Loading...