tata mvoni JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 534 Reaction score 81 Nov 8, 2013 #1 Habari wakuu mwenye king'amuzi cha STAR TIMES aniuzie walau mwanagu awe anaangalia hata vikatuni. Bajeti yangu ni tshs.30,000/=. nipo dar es salaam. Mweneye nacho anitafute hapa 0715404808. ANGALIZO: KISIWE CHA WIZI
Habari wakuu mwenye king'amuzi cha STAR TIMES aniuzie walau mwanagu awe anaangalia hata vikatuni. Bajeti yangu ni tshs.30,000/=. nipo dar es salaam. Mweneye nacho anitafute hapa 0715404808. ANGALIZO: KISIWE CHA WIZI
Naibili JF-Expert Member Joined Jan 24, 2011 Posts 1,878 Reaction score 1,062 Nov 8, 2013 #2 na kampuni yenyewe ndo inakufa, cha kwangu nlinunua hapa hapa jukwaani, https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=506457
na kampuni yenyewe ndo inakufa, cha kwangu nlinunua hapa hapa jukwaani, https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=506457
N Ndala ndefu JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 237 Reaction score 42 Nov 9, 2013 #3 Dah! Mi changu cha wizi.
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,644 Reaction score 19,038 Nov 9, 2013 #4 ah...kinatumika zaidi kwenye katuni cha kwangu ...
tata mvoni JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 534 Reaction score 81 Nov 9, 2013 Thread starter #5 jamani mwenye nacho bado nahitaji
Makbel JF-Expert Member Joined Aug 14, 2011 Posts 774 Reaction score 167 Nov 9, 2013 #6 Fanya 45 nikupe changu na kimesajiliwa kwa jina langu.
comred JF-Expert Member Joined Jan 17, 2011 Posts 1,867 Reaction score 1,611 Nov 9, 2013 #7 mkuu makbeli kulaa 40 nichukue kesho
hajjmakwato JF-Expert Member Joined Jun 4, 2013 Posts 233 Reaction score 156 Nov 9, 2013 #8 Mi nipe 40 nikupe ila nipo Tanga kunani No. 0713422826 usipige uck Ukitaka na antena yake itabidi utoe 50.
Mi nipe 40 nikupe ila nipo Tanga kunani No. 0713422826 usipige uck Ukitaka na antena yake itabidi utoe 50.
Paul Mchumi JF-Expert Member Joined Sep 26, 2013 Posts 1,043 Reaction score 1,276 Nov 10, 2013 #9 Ivi kwanini msihamie ZUKU.....
tata mvoni JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 534 Reaction score 81 Nov 10, 2013 Thread starter #10 mkuuuu huko zuku mh!? nyumba zenyewe za kupanga siku mbili 3 unapewa notes afu hawa jamaa wengine hawataki uwaharibie nyumba yao eti waweka ungo ichenjezya said: Ivi kwanini msihamie ZUKU..... Click to expand...
mkuuuu huko zuku mh!? nyumba zenyewe za kupanga siku mbili 3 unapewa notes afu hawa jamaa wengine hawataki uwaharibie nyumba yao eti waweka ungo ichenjezya said: Ivi kwanini msihamie ZUKU..... Click to expand...
D Deleted_account JF-Expert Member Joined Nov 1, 2008 Posts 3,385 Reaction score 3,704 Nov 10, 2013 #11 Makbel said: Fanya 45 nikupe changu na kimesajiliwa kwa jina langu. Click to expand... Uko wapi?
Amalinze JF-Expert Member Joined May 6, 2012 Posts 6,780 Reaction score 5,325 Nov 10, 2013 #12 Mwenye digitek kwa 50k nahitaji fasta!! Ni PM kama unacho!!
D delako JF-Expert Member Joined Oct 6, 2012 Posts 3,054 Reaction score 2,154 Nov 10, 2013 #13 Nenda makao makuu pale bagama na 100,000/ watakupa change 1000/ bila magumashi yoyote
Makbel JF-Expert Member Joined Aug 14, 2011 Posts 774 Reaction score 167 Nov 10, 2013 #14 Nipo Tabata simu namba 0787577755
Manka R JF-Expert Member Joined Feb 28, 2013 Posts 238 Reaction score 29 Nov 12, 2013 #15 Nakihitaji kama bado unacho.. Nipo dar
tata mvoni JF-Expert Member Joined Jan 14, 2011 Posts 534 Reaction score 81 Nov 13, 2013 Thread starter #16 Jamiiforums juuu hatimae mkuu MAKBEL kaniuzia kisimbuzi chake tena kinapiga mzigo mlemle
IGUDUNG'WA JF-Expert Member Joined Oct 22, 2011 Posts 2,071 Reaction score 1,317 Nov 13, 2013 #17 nilijua haujapata mm changu star times nimekifanyia makeke kinanyuka mpaka DSTV bei kilo3
Naibili JF-Expert Member Joined Jan 24, 2011 Posts 1,878 Reaction score 1,062 Nov 13, 2013 #18 kuna mtu bado anahitaji, kwa aliyenacho asisite kunipa taarifa.
I Ilambo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 475 Reaction score 90 Jan 25, 2014 #19 Habar zenu wana jf,nauliza kig'amz cha star times ni sh ngap?
lyinga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2013 Posts 2,494 Reaction score 1,057 Jan 25, 2014 #20 Hahahaa ote iyoe nyi illambo lya umbe.