Nahitaji king'amuzi cha Q-SAT

Nahitaji king'amuzi cha Q-SAT

EasyFit

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
1,269
Reaction score
1,082
Mwenye nacho na anakiuza ani PM au tuwasiliane 0689700122.

Ofa yangu ni Tshs 100,000/=.
 
Mwenye nacho na anakiuza ani PM au tuwasiliane 0689700122.

Ofa yangu ni Tshs 100,000/=.

kabla haujanunua hiyo Used decoder labda ujue ietumika kwa muda gani maana uja na account ya mwaka mzima
N a kwa sasa Q15G,Q13G na Q15G na xmaster wenzake wamepitwa na wakati yaani naweza kuwaita Samsung S4 kwa sasa mzigo ulio sokoni ni Q23G ukiwa na Account ya server mpya ACAMHD bila mizinguo

Nikikuuzia hiyo QSAT Q23G nakufanyia configuration zote hauitaji kulipia hela kwa fundi tena na mara tu QSAT itakapoisha mda wake ntakupa account kwa bei ya Kununulia account amabayo sitoitaja hapa ila nafikiri unajua kua account yake inauzwa 45$ kwa mwaka au 50$ kutegemea na mtu aliponunua

Ukiyazingatia hayo hauwezi kosa chaguo sehemu ya kujipatia QSAT niko JF hapa tokea 2012 na nieuza hizi makitu tokea mwaka jana bado sijakimbia hivo hata ukioteza namba zangu za simu unanicheki tu humu JF tunamalizana na unaweza tembelea JF tech huwa na post baadhi ya tutorials jinsi ya kuwezesha decoder yako kufanya vitu tofauti

Thread zangu hizi hapa https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/517119-jipatie-dstv-kwa-kutumia-azsky-dongles.html

Na wakati wa kurenew tutakutana hapa....kama ulinunua kwangu decoder ntakupa Accunt bila faida hope ueelewa nilichokisema awali

https://www.jamiiforums.com/matanga...-and-other-iks-sks-decoders-dongles-here.html
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom