Ndugu zangu, kanisa limeanzishwa, waumini wamejichanga na mimi nimekabidhiwa fedha kwa ajili ya kununua Kinanda nauliza bei ya Kinanda 450 na 770 au zaidi tukikubaliana tufanye biashara.
Ndugu zangu, kanisa limeanzishwa, waumini wamejichanga na mimi nimekabidhiwa fedha kwa ajili ya kununua Kinanda.
Nauliza bei ya Kinanda 450 na 770 au zaidi. Tukikubaliana tufanye biashara.