EthanMallaky
Member
- Oct 28, 2017
- 57
- 30
..Habari ndugu na marafiki wa jamii forum,mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa nchini,katika kipindi hiki cha semester ya kwanza natafuta kazi ntayoweza kuifanya ikanipa kipato nitapokua likizo kwa week mbili Iringa,kuanzia 10 march mpaka 26march 2018kazi yeyote iwe halali ntaifanya,kama utakuwa unaitaji msaidizi wa kazi zako nipo tayari tafadhali nifuate inbox namaanisha.Ahsanten