Mimi ni kijana wa kiume, naishi Dar es Salaam, nlikuwa nahitaji kazi ya muda wa mwezi mmoja (mwezi wa tisa mpaka wa kumi), nipo free kwa sasa tumefunga chuo. Namba zangu ni 0715-921818
umenifurahisha!kazi ya mwezi mmoja huku kuna watu kibao wana vyeti vyao,hata nafasi ya kujitolea tu hawaipati!Maliza chuo ndio utajua nini ninachokisema.