johnml2020
Senior Member
- Nov 21, 2021
- 118
- 177
Wanandugu mwenye Manila ngumu naweza kumpata ?
Si bango ni kwa ajili ya mahitaji yangu binafsi, nimetafuta kwenye sehemu za stationary nimekosaUnaandika bango gan usije ukatuponza mkuu
Unahitaji ngapi na upo wapi ?Si bango ni kwa ajili ya mahitaji yangu binafsi, nimetafuta kwenye sehemu za stationary nimekosa
Yaani kwa namna ulivyoandika, mtu baki anaweza kufikiri labda watu wote humu jamii forums tunaishi Mtaa/Kijiji kimoja.Si bango ni kwa ajili ya mahitaji yangu binafsi, nimetafuta kwenye sehemu za stationary nimekosa
DarUpo wapi?Mbona nyingi sana hizo Manila ngumu.