Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,340
- 56,053
Yapo machache, ingawa itamlazimu awe mtumwa; anafanyiwa mazingaombwe ya kukutana na watu wenye mafanikio na kumpa koneksheni, ila asipokuwa anatoa fungu la 10, anarudi kwenye hali yake ya zamaniIli na yeye ale bata,full kuogelea kwenye majacuz,kidimbwi beach kwa sana,asubuhi aamshwe na supu ya kangaroo π¦,mashuka meupe kwenye five π hotels,agonge mvinyo kwa sana na awe na chawa km mondi.. Km Hii miujiza ipo kanisani kwenu mcheki dm
Napata Shida sana mkuu Madeni Kesi na kila aina ya matatizo unayo yajua aiseeLife begins at 40 relax, fanya kazi kwa bidii
Nitafanya hivyo ulivyo nielekezaNkuelekeze namna ya kumuona mwanga wako mambo yasiwe mengi. Mtafte paka muoshe uso. Yale maji uliyomuoshea yakinge alafu yatumike kuosha uso wako. Utakayemuona dili nae mpaka akuopoe
Habari Ndugu zangu wa Jf.
Nahisi kuna mkono wa mtu katika maisha yangu. Nijuzeni kanisa tajwa hapo juu nikapate maombi.
Sijawahi kula raha kama wengine wanavyo faidi maisha haya.
Natanguliza shukurani naomba muongozo.
Kanisa sio JENGO kwa hio rekebisha maelezo unataka nini?Habari Ndugu zangu wa Jf.
Nahisi kuna mkono wa mtu katika maisha yangu. Nijuzeni kanisa tajwa hapo juu nikapate maombi.
Sijawahi kula raha kama wengine wanavyo faidi maisha haya.
Natanguliza shukurani naomba muongozo.
Hapo kwenye kesi nakupa pole sana, aisee asikwambie mtu, kesi ni kitu kibaya sana, omba sana Mungu akuepushe na hilo balaa, naujua vizuri mziki wake.Napata Shida sana mkuu Madeni Kesi na kila aina ya matatizo unayo yajua aisee
Mkuu paka unamwoshaje uso? So yeye paka anakuwa katulia tu anakuangalia ukimuosha usoNkuelekeze namna ya kumuona mwanga wako mambo yasiwe mengi. Mtafte paka muoshe uso. Yale maji uliyomuoshea yakinge alafu yatumike kuosha uso wako. Utakayemuona dili nae mpaka akuopoe
Mungu amenitokea ndotoni, nikiwa na wewe, shida zote zinakuwa zimeishaMaisha ya bongo ni miujiza tosha
Tafuta namna ufanikishe Hilo. Paka ukimshika nyuma ya shingo anatuliaMkuu paka unamwoshaje uso? So yeye paka anakuwa katulia tu anakuangalia ukimuosha uso
Epuka kesi, madeni hayaepukikiNapata Shida sana mkuu Madeni Kesi na kila aina ya matatizo unayo yajua aisee
Fafanua kidogo, chanzo ni nini?Napata Shida sana mkuu Madeni Kesi na kila aina ya matatizo unayo yajua aisee
Samahani lakini kuna vitu viwili umetaja kwanz kula raha pili miujiza ... sasa nakuliza unataka kula raha au miujizaHabari Ndugu zangu wa Jf.
Nahisi kuna mkono wa mtu katika maisha yangu. Nijuzeni kanisa tajwa hapo juu nikapate maombi.
Sijawahi kula raha kama wengine wanavyo faidi maisha haya.
Natanguliza shukurani naomba muongozo.
Sawa atatulia lakini ukianza mbwembwe za kumwosha uso lazima akurarue, unajua jinsi gani paka hapendi maji? Ndiyo maana hujawahi kuona paka kaloa hata mvua ipigejeTafuta namna ufanikishe Hilo. Paka ukimshika nyuma ya shingo anatulia
Paka rangi gani....taja muda wa kufanya ivoTafuta namna ufanikishe Hilo. Paka ukimshika nyuma ya shingo anatulia
Amen πMungu amenitokea ndotoni, nikiwa na wewe, shida zote zinakuwa zimeisha
Nenda kwa mapdre wa roma wao wana madre kabisa wenye hizo karma za kuvunja laana za ukoo, nenda kanisa lolote la roma mueleze padre shida yako utasaidiwa bure bila sent yano achana na miujiza ya kununuaHabari Ndugu zangu wa Jf.
Nahisi kuna mkono wa mtu katika maisha yangu. Nijuzeni kanisa tajwa hapo juu nikapate maombi.
Sijawahi kula raha kama wengine wanavyo faidi maisha haya.
Natanguliza shukurani naomba muongozo.