Nahitaji kabati la kuuzia chips

Nahitaji kabati la kuuzia chips

hoop

Member
Joined
Mar 16, 2017
Posts
45
Reaction score
22
Habari zenu wakuu

Nahitaji kabati la kuuzia chips, liwe kubwa kiasi na sio kidogo litakaloweza kubeba, chips, kuku, mishikaki na kachumbali na vinginevyo

Liwe na sehemu mbili i meab juu na chini lisiwe used kupita kiasi hadi kupoteza mvuto.

Kama unalo njoo pm

Picha muhimu sana na vipimo vyake pls.
 
Back
Top Bottom