BRO SANTANA JF-Expert Member Joined Jun 15, 2015 Posts 1,845 Reaction score 2,249 Aug 3, 2015 #1 Ndugu wanajamii. Nahitaji kabati tajwa hapo juu nipo Mbeya. Ninahitaji la mita 2 lakini nina kama laki 1 na 50. Tafadhali mwenye nalo anijulishe.
Ndugu wanajamii. Nahitaji kabati tajwa hapo juu nipo Mbeya. Ninahitaji la mita 2 lakini nina kama laki 1 na 50. Tafadhali mwenye nalo anijulishe.
Jambazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 16,654 Reaction score 18,801 Aug 3, 2015 #2 Kwa hyo bei huwezi kupata lipya 250k! kwa hapa mbeya
BRO SANTANA JF-Expert Member Joined Jun 15, 2015 Posts 1,845 Reaction score 2,249 Aug 3, 2015 Thread starter #3 Jambazi said: Kwa hyo bei huwezi kupata lipya 250k! kwa hapa mbeya Click to expand... Sijakuelewa hiyo 250k ndio nn?
Jambazi said: Kwa hyo bei huwezi kupata lipya 250k! kwa hapa mbeya Click to expand... Sijakuelewa hiyo 250k ndio nn?