Nahitaji Jezi ya Taifa Stairs

Nahitaji Jezi ya Taifa Stairs

Dubai Market

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Posts
1,191
Reaction score
1,597
.
 

Attachments

  • IMG_20170325_124511_530.jpg
    IMG_20170325_124511_530.jpg
    205.3 KB · Views: 46
Wanazengo, Mimi sio mdau sana wa soka la hapa Bongo hususan Timu ya Taifa (msiniulize kwa nini?), ila sasa kutokana na hamasa nimeamua kuwa mzalendo na kuamua kuiunga mkono timu yangu ya Taifa yaani (Taifa Stars)
Na Jumapili hii nimepanga kwenda uwanja wa Taifa kuishangilia

changamoto kubwa kwangu nilikuwa nataka jezi ya kununua ili nivae nikienda uwanjani, nahitaji jezi ya taifa stars (quality sio hizi za machinga za elfu 8)

Naombeni msaada kwa wale wanaojua maduka ya jezi hususan za taifa stars.

Ahsanteni

Itapendeza zaidi nikipata uzi kama huu hapa chini

View attachment 1051432
Edit title haraka.
Ni Taifa Stars sio Stairs.
 
Back
Top Bottom