Nahitaji IST yenye sifa hizi...

Na 8M?

Doh!
Nilimaanisha aongezee hapo 2.5 to 3m aagize ili apate gari ya sifa zote anazotaka vinginevyo ist iliyosimama vizuri kabisa kuachiwa kwa 8 m ni ngum kidogo, labda iwe bahati yake
 
Nilimaanisha aongezee hapo 2.5 to 3m aagize ili apate gari ya sifa zote anazotaka vinginevyo ist iliyosimama vizuri kabisa kuachiwa kwa 8 m ni ngum kidogo, labda iwe bahati yake
zinapatikana Ila siyo kwa haraka awe na subira..
 
Tuna passo namba B,
Gari bado nzima

inahitaji milioni 3 tu

nicheki 0683011003 nikutumie picha

nipo Dar
 
Kuna white namba C kwa 6.2 milion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…