Wakuu mtu yeyote mwenye iPhone 4s anayouza tuwasiliane iliyofungwa au iliyo wazi but sitaki ya wizi. Usifikirie kabisa kuniletea ya wizi nitakufunga
Nnavyojibu thread hii natumia iPhone 4S! If you are interested nitafute na 550000! Isipungue! Nimeupgrade to iOS 7.0.4 juzi! 64gb memory!
Mkuu nikupe 150,000 na iPhone 4, still mpya kabisa unlocked
Ukisema mpya kabisa unamaanisha umeinunua lini?
Oi mie nnayo balck,16 GB inamizik 1740,ipo poa kabsa ncheki nkupe kwa 420000 tuu
Imetumika kama miezi saba hivi, na vikorokoro vyake vipo hadi box lake, Isipokua headphone (Hizi niliuza)
Mkuu labda uiuze hiyo simu uje na mzigo wa hela kamili kamili tumalize biashara