Ninahiyo hii hapaHabari wakuu,nahitaji hometheatre used iwe nzuri na iwe na muonekano mzuri nahitaji 5.1 ,kampuni yoyote ila ikiwa Lg itapendeza zaidi.
Bei?Ninahiyo hii hapa
LG 1200W 5.1 Ina kila kitu chake..ipo Moshi ila inatumwa ulipo maelewano tu
700kBei?
700k
mzee 700k used duh mbona mpya ni 750 tu?700k
mzee 700k used duh mbona mpya ni 750 tu?