Nahitaji hiace ya biashara

Nahitaji hiace ya biashara

amoxillin

Member
Joined
Aug 9, 2014
Posts
16
Reaction score
4
Nina mil. 9,ninahitaji kununua haice kwa biashara ya daladala. Sina uzoefu na magari lakini sitaki iliyochoka, iwe na namba kuanzia B,isiwe imetembea km zaidi ya laki mbili,mwenye nayo tuwasiliane
 
Nissan Caravan hutaki? Kuna bro wangu anaiuza ya kwake!!!
 
Ni pm nakupa hiace no c kwa bei hyo..tunaipima na fund wako
 
Back
Top Bottom