Peaceful Warrior
Senior Member
- May 28, 2013
- 125
- 28
Habari zenu wanajf. Nina shida pc yangu pindi ikiwashwa inanguruma kama processor inapiga kazi afu inakata ghafla (inazima). Na wakati mwingine ikibahatika kuwaka ukiplay movie tu au ukifungua apps yoyote inakata ghafla. Baada ya kuifungua kuchungulia cooling system nikaona thermal paste / heaatsink compound imeisha kabisa (imekauka). Nimejaribu kutumia ya mshikaji ila nimeona ipo liquid sana ata nikipaka tatizo bado linaendelea. Kwahyo wapi naweza kupata hiyo heatsink compound nzuri nipo Dar. Au kama kuna ushauri jinsi ya kufanya. Ahsanteni.