huyo mkeo mmekuwa pamoja kwa muda gani...is this a s recent thing..hiyo kupenda manyoya? if not basi alipokutana nawewe alijua kuwa huna manyoya..if it was that important for her basi asingeendelea nawewe.....alternatively unaibiwa!!!pole sana!!!
hayo manyoya mengine yakizidi yanatia kinyaaaaaaaaaa