Nahitaji harrier kubadilishana na rava 4 kili time

Unaijua harrier new model kweli au unasemea harrier Lexus mzeee!! Hata hivyo kill time haiwezi lingana na harrier Lexus hata kidogo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaijua harrier new model kweli au unasemea harrier Lexus mzeee!! Hata hivyo kill time haiwezi lingana na harrier Lexus hata kidogo!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Mleta mada amefafanua kabisa kwamba amemaanisha second generation, tena kaweka hadi range ya miaka, and yet unamkosoa huku wewe mwenyewe ukikosea zaidi kwa ku introduce model ya gari ambayo haipo duniani. Tupunguze ujuaji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…