M manyusi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2009 Posts 292 Reaction score 170 Sep 14, 2015 #1 Habari wana jamvi ninahitaji graduate archtech,tafadhali awe graduate nina kijikazi kidogo tu nahitaji kumpatia graduate wa mwaka huu ili apate nauli ya kuzungukia mjini kutafuta kazi.kama ni wewe pm namba yako
Habari wana jamvi ninahitaji graduate archtech,tafadhali awe graduate nina kijikazi kidogo tu nahitaji kumpatia graduate wa mwaka huu ili apate nauli ya kuzungukia mjini kutafuta kazi.kama ni wewe pm namba yako
stunna JF-Expert Member Joined Nov 7, 2013 Posts 261 Reaction score 152 Sep 14, 2015 #2 Mkuu yupo aliemaliza diploma MIST mwaka jana bado hajapata kazi vp anakufaa??