Nahitaji gold fish kwa bei nafuu.

Nahitaji gold fish kwa bei nafuu.

GHIBUU

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Posts
4,432
Reaction score
3,016
Mi nafanya Kazi zangu zanzibar, ni mtaalamu wa ujenzi wa fish pond, nilikuwa natafuta gold fish ambao wa bei nafuu, wapi wanapatikana! Kwa wale watakao hitaji kujengewa fish pond katika garden please wasiliana nami. Nassor25@hotmail.com
 
Hizi Ndio design ninazo jenga, zikiwa na pump Maalumu za kusafisha maji, pumps za oxygen, plant 🌿 za oxygen n.k

Hao samaki Ndio ninao wahitaji kwa wanao uza kwa bei nzuri, na nipo Tayari kishirikiana na muuzaji samaki gold fish.
 
Attachments

  • 1409050177023.jpg
    1409050177023.jpg
    53.8 KB · Views: 87
  • 1409050195448.jpg
    1409050195448.jpg
    47.3 KB · Views: 76
  • 1409050220478.jpg
    1409050220478.jpg
    29.6 KB · Views: 79
  • 1409050301886.jpg
    1409050301886.jpg
    52.7 KB · Views: 76
Nimependa sana mkuu kazi yako, gold fish 25,000 mkuu kama upo tayari nipm.
 
Back
Top Bottom