Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 6,848
- 25,034
- Thread starter
-
- #21
Sawa Mzee MwenzanguAisee!
Kama hutanii basi nakulinganisha na yule aachaye kununua vidonge na kununua bando na kuposit fb "pray for me, feeling sick"
Ungeacha kununua bando kwa mwezi tu ungenunua godoro jipya, sasa naona kama unajidhalilisha.
Nikushauri tu, ktk vitu vyote used, usinunue godoro maana halifuliwi na ......
naomba niishie hapo
Basi huu mkeka wangu ndo kwaheri hivi. Nilikuwa nalala kwenye mkeka kumbe uwezo wa kumiliki Godoro nnao.Inchi 8 inakuwa 172k kiwandani, sasa 6 kadiria
[emoji12]Basi huu mkeka wangu ndo kwaheri hivi. Nilikuwa nalala kwenye mkeka kumbe uwezo wa kumiliki Godoro nnao.
PambanaBasi huu mkeka wangu ndo kwaheri hivi. Nilikuwa nalala kwenye mkeka kumbe uwezo wa kumiliki Godoro nnao.
Inchi 8 inakuwa 172k kiwandani, sasa 6 kadiria
Niko hapa Mianzini, kiwanda kiko wapi nikabebe mzigo fasta kabla giza halijaingia ?Pambana
Kiwandani mbali, nenda soko kuu duka lipo opposite na NMB bank. Watakuanzia 200k au zaidi kaza unaelewa maana ya kukaza?! Sasa kaza wasikupige zaidi ya 180kNiko hapa Mianzini, kiwanda kiko wapi nikabebe mzigo fasta kabla giza halijaingia ?
Mkuu na 4*6 inch 8 Godoro la Spring ni kiasi gani kiwandani ?Inchi 8 inakuwa 172k kiwandani, sasa 6 kadiria
Wacha bana
[emoji23] vyuma oyeeeLiwe 5×6, Nch 6 au zaidi. Liwe Safi na lisiwe limetengeneza mtumbwi katikati.
Nina elfu 70. Nipo Arusha
Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
Sifahamu
Taja bei nataka kumnunulia mchepukoUngekuwa dar ningekupa la kwangu la thickness ya 6inch. Maana lipo tu limekaa.
Duh, mkuu unataka tuanze kufikiria mbali,Aisee!
Kama hutanii basi nakulinganisha na yule aachaye kununua vidonge na kununua bando na kuposit fb "pray for me, feeling sick"
Ungeacha kununua bando kwa mwezi tu ungenunua godoro jipya, sasa naona kama unajidhalilisha.
Nikushauri tu, ktk vitu vyote used, usinunue godoro maana halifuliwi na ......
naomba niishie hapo
Sipo Tz kwa sasa. Ila kuna mtu nilimuachia vitu vyangu...
Bado mkuu
Mkuu niuzie godoro ,nimeibiwa kila kitu naanza na mojaUngekuwa dar ningekupa la kwangu la thickness ya 6inch. Maana lipo tu limekaa.
Nipo dar, shilingi ngapiUngekuwa dar ningekupa la kwangu la thickness ya 6inch. Maana lipo tu limekaa.