Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 6,855
- 25,043
Weka picha
Sijui. Me nahitaji usedHivi 5×6 likiwa jipya linakuwa bei gani? (Comfy)
OkSijui. Me nahitaji used
Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
Laki na nusu mpk lak 2 hapoHivi 5×6 likiwa jipya linakuwa bei gani? (Comfy)
Inchi 8 inakuwa 172k kiwandani, sasa 6 kadiriaHivi 5×6 likiwa jipya linakuwa bei gani? (Comfy)
Inchi 8 inakuwa 172k kiwandani, sasa 6 kadiria
Afu dogo sikudai kweli 🤣Upo vzr
Sent from my iPhone using JamiiForums
Afu dogo sikudai kweli 🤣
ok!! shukraniInchi 8 inakuwa 172k kiwandani, sasa 6 kadiria
Hivi 5×6 likiwa jipya linakuwa bei gani? (Comfy)
mm nauza ila nipo dodoma
Liwe 5×6, Nch 6 au zaidi. Liwe Safi na lisiwe limetengeneza mtumbwi katikati.
Nina elfu 70. Nipo Arusha
Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
Me langu nilinunua 120k 5 years ago.Laki na nusu mpk lak 2 hapo
Inategemeana godoro lenyewe
Kwa maana ujazo nene pamoja ni kitambaa kwa maana cover
Liwe 5×6, Nch 6 au zaidi. Liwe Safi na lisiwe limetengeneza mtumbwi katikati.
Nina elfu 70. Nipo Arusha
Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
Weka picha
Sent from my Infinix X650B using Tapatalk
nipm pcha zke mkuu tafadharUngekuwa dar ningekupa la kwangu la thickness ya 6inch. Maana lipo tu limekaa.