Mkuu nipo kwenye mji wa Morogoro ambao hauna Jam kabisa!
thanks
asate sana mkuu vipi una ufahamu wowte kuhusu befoward!?
do u think pia nweza kupata gari nzuri kwa bajeti hiyo?
Nimeagiza gari aina ya nadia miezi 5 iliyopita ni nzuri sana .kama ungelipenda ningekuuzia kwa milioni 9 mimi nimepata chuo nje ya nchi ninaenda kusoma hivyo naiuza
jaribu kuangalia katika mtandaoNashukuru sana kwa comments wakuu, kuna yeyoye mwenye additional comments kuhusu conspution ya fuel kati ya 1.5 na 1.76
Wakuu habari za jioni,
Nahitaji gari ya kutembelea yenye fuel consumption nzuri pamoja na durability and should be Sedan!
Nimeshauriwa kununua Toyota Carina au Corolla Sedan
Kuna tofauti kubwa ya fuel consuption kati ya cc 1500 na cc 1760!? both unweza kwenda umbali gani kwa lita moja at a speed ya 80-100km/h?
Bajeti yangu ni 7.5m
Kuna wadau walinishauri kuwa makuni na befoward kuwa naweza kulia kuletewa gari bovu kwa kuwa hata kwenye picha zao zoko faint na pia ziko chache sana hivyo huwezi kuwa na nafasi ya kulikagua gari lako viziri kabla hujanunua.
Msaada kwa kuwa sina uzoefu sana na magari!
Asanteni
Mkuu Nashukuru kwa ofer, nasikia nadia hayako vzuri kwa consuption ya fuel pia hayako strong
mdau naongelea uimara huwezi ukalinganisaha na corola na carina hata kama utunzaji
Kama ishu ni mafuta nakushauri uchukue Toyota Passo mkuu, utasevu hela huku unawekeza!! Na bei ni hio hio uliotaja kwa mpya.
Kama utapenda hii karibu tufanye biashara ni 1.3cc na ya mwaka 2005.
0716398757.
Kuna tofauti kubwa ya fuel consuption kati ya cc 1500 na cc 1760!? both unweza kwenda umbali gani kwa lita moja at a speed ya 80-100km/h?
Kwa spidi izo naamini utakua katika "open road" tofauti
matumizi ya mafuta ni ndogo sana ingawa ukiwa spidi. zaidi ya 130, 5A inavuma sana na ni uncomfortable, ili uweze kumaintain spidi utaendesha ktk higher rpm than 7A and that's inturn means more fuel for 5A that end up matching 7A consumption.
upo sawa, 1.8 L (1762 cc) 7A-FE na 1.5 L (1498 cc) 5A-FE,Mkuu asnate sana kwa info, but look here, I am not veru familia with car terminologies! I assume that 5A is 1.5 and 7A is 1.8l
But my question was, how many km with one litre fuel to both at a speed of 80-100km/h
Hii Nadia ni ipi ile yenye engine ya 3S-FE model SU au ni zile zenye engine ya D-4?Nimeagiza gari aina ya nadia miezi 5 iliyopita ni nzuri sana .kama ungelipenda ningekuuzia kwa milioni 9 mimi nimepata chuo nje ya nchi ninaenda kusoma hivyo naiuza