Nahitaji Gari Zifuatazo

Nahitaji Gari Zifuatazo

Ramthods

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2009
Posts
515
Reaction score
187
Wadau,

Nahitaji gari zifuatazo kama kuna mtu anauza. Iwe imetumika kati ya mwaka mmoja hadi miwili, na iwe katika hali nzuri.

Bei ni maelewano kutokana na hali ya gari.

- Toyota Premio, 1800cc au 2000cc
- Toyota Carina Ti 1500cc
- Toyota Carina 1800cc
- Toyota Corola 110
- Toyota Caldina
- Toyota Vitz
- Suzuki Swift

Kama una gari tofauti na hizo hapo juu unauza, sio mbaya uki ni PM.

Thanks,

Ben
 
Ninayo Premio 1800, ya Mwaka 1996, engine 7A iko mzuri sana waweza kuni PM kwa maelekezo zaidi.
 
Nina Toyota Carina cc 1800 ya mwaka 1998,Engine 7A,rangi ya silver Metalic bei ni 8m.
 
toyota spacio cc1587 ya mwaka 2000km 106000 bei 7.5ml
 
Aisee mi mwenyewe sijui ku PM ndio kufanya nini kama uko serious nipigie 0767908081
 
Wageni wamekutana kwenye biashara ya gari hapo sasa. Ni PM na wewe ni PM. Mimi sijui na mimi sijui. JF ni zaidi ya burudani
 
KuPM ni kumtumia mtu Private Message/PM... Unaclick jina lake unamtumia sms,,, huko mnamalizana kisirisiri...
 
KuPM ni kumtumia mtu Private Message/PM... Unaclick jina lake unamtumia sms,,, huko mnamalizana kisirisiri...

Haha! Hii misamiati mingine bwana! Wazee, PM ni Primave Message.

Thanks kwa contacts mkuu. Ntakucheki!
 
Back
Top Bottom